![]() |
| Brooklyin Beckham anataka kufuata nyayo za baba yake David Beckham kwa kufanya mazoezi ya majaribio katika klabu ya Manchester United. |
![]() |
| Brooklyn akifanya mazoezi na nahodha wa klabu ya PSG Thiago Silva wakati baba yake akiichezea klabu hiyo. |
![]() |
| Brooklyn akiwa katika jezi ya Los Angeles Galaxy ya Marekani wakati baba yake Beckham akicheza huko. |
![]() |
| Brooklyn akiwa na baba yake mwaka 2000 wakati Manchester United iliponyakuwa taji la Ligi Kuu. |
![]() |
| Hapa akiwa amebebwa na baba yake. |





No comments:
Post a Comment