Tuesday, January 13, 2015

BALLON D'OR 2014: MUONE MWANADADA STEPHANIE ROCHE ALIYEKUWA AKICHUANA NA JAMES RODRIGUEZ KATIKA TUZO YA BAO BORA LA MWAKA.

Mrembo Roche ambaye anacheza katika klabu ya Peamount United akikatiza mbele ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kuelekea mahali pa kukaa katika sherehe za tuzo hizo zilizofanyika huko Zurich.

Roche akiwa kartika picha ya pamoja na mpenzi wake Dean Zambra ambaye naye ni mchezaji wa nafasi ya kiungo.

No comments:

Post a Comment