BEKI3

Friday, September 1, 2017

CHELSEA YAWANASA DRINKERWATER NA ZAPPACOSTA DAKIKA ZA MAJERUHI

›
MABINGWA wa Ligi Kuu Uingereza, Chelsea imekamilisha usajili uliokuwa na changamoto nyingi Alfajiri ya leo kwa kuwanasa kiungo Danny Drin...

COUTINHO AITAKATISHA BRAZIL

›
TIMU ya taifa ya Brazil, imefanikiwa kujihakikishia nafasi ya kumaliza kinara katika mechi za kufuzu michuano ya Kombe la Dunia huko Amer...

PALACE YAMCHUKUA SAKHO MOJA KWA MOJA

›
KLABU ya Crystal Palace imefanikiwa kumsajili beki wa kati Mamadou Sakho kutoka Liverpool kwa kitita cha paundi milioni 26. Ofa hiyo ilik...

PSG YAMCHUKUA MBAPPE KWA MKOPO

›
KLABU ya Paris Saint-Germain-PSG imefanikiwa kumsajili Kylian Mbappe kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Monaco huku kukiwa na kipengele cha ...
1 comment:

KUIONA STARS BUKU TANO

›
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza viingilio vya mchezo kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Botswana utakaofanyika J...
Friday, August 25, 2017

RATIBA YA MAKUNDI YA EUROPA LEAGUE

›
Kundi A: Villarreal, Maccabi Tel Aviv, Astana, Slavia Prague. Kundi B: Dynamo Kiev, Young Boys, Partizan Belgrade, Skenderbeu. Kundi C:...

RATIBA YA MAKUNDI YA CHAMPIONS LEAGUE

›
Kundi A: Benfica, Manchester United, Basel, CSKA Moscow Kundi B: Bayern Munich, Paris St-Germain, Anderlecht, Celtic Kundi C: Chelsea,...
›
Home
View web version
Powered by Blogger.