KIPA wa Arsenal, Petr Cech amewahimiza wachezaji wenzake kusahau kipigo cha mabao 2-1 walichopata kutoka kwa Everton badala yake wajipange kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Manchester City. Kipigo hicho cha jana dhidi ya Everton kinakuwa cha pili kwa Arsenal msimu huu baada ya kupoteza pia mchezo wa ufunguzi dhidi ya Liverpool. Akihojiwa mara baada ya mchezo huo, Cech amesema pamoja na kupoteza mchezo huo lakini hawapaswi kubweteka kwani wana mechi nyingine muhimu. Cech aliendelea kudai kuwa kwasasa mechi za ligi ziko karibukaribu hivyo ni vyema kujiandaa na kusahau matokeo ya mchezo uliopita haraka.
Wednesday, December 14, 2016
CECH AWATAKA WACHEZAJI WENZAKE KUSAHAU KIPIGO.
KIPA wa Arsenal, Petr Cech amewahimiza wachezaji wenzake kusahau kipigo cha mabao 2-1 walichopata kutoka kwa Everton badala yake wajipange kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Manchester City. Kipigo hicho cha jana dhidi ya Everton kinakuwa cha pili kwa Arsenal msimu huu baada ya kupoteza pia mchezo wa ufunguzi dhidi ya Liverpool. Akihojiwa mara baada ya mchezo huo, Cech amesema pamoja na kupoteza mchezo huo lakini hawapaswi kubweteka kwani wana mechi nyingine muhimu. Cech aliendelea kudai kuwa kwasasa mechi za ligi ziko karibukaribu hivyo ni vyema kujiandaa na kusahau matokeo ya mchezo uliopita haraka.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment