| Mashabiki wa Chelsea wakiwa na bango la kumpokea shujaa wao Didier Drogba. |
| DROGBA akiwa na mwanae Isaac baada ya kupokeza tuzo ya shukrani kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Chelsea Ron Gourlay kwa kazi nzuri aliyofanya akiwa Stamford Bridge. |
| Drogba akimkumbatia kocha wake wa zamani Jose Mourinho. |
| Samuel Eto'o akitupia bao la kwanza katika mchezo huo. |
| Drogba akitaka kuifunga timu yake ya zamani. |
| Bao la pili la Chelsea lililofungwa na Cahill lililoivusha timu hiyo kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya kwa jumla ya mabao 3-1 katika mechi mbili walizocheza. |
No comments:
Post a Comment