MPENZI MSOMAJI WA BEKI3
TUNASHUKURU KWA KUWA PAMOJA NASI KWA KIPINDI CHOTE CHA MWAKA 2014 TUKIJUZANA HAYA NA
YALE YALIYOTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA MICHEZO HUSUSANI SOKA NDANI NA NJE, TUNAPENDA KUKUAHIDI
KUWA MWAKA HUU MPYA WA 2015 TUTAENDELEA KUWA PAMOJA NA NAWE NA KUENDELEA
KUPASHANA ZAIDI YA ILIVYOKUWA MWAKA ULIOPITA HIVYO ENDELEA KUWA NASI, ASANTE.
No comments:
Post a Comment