DEREVA wa magari yaendayo kasi ya langalanga kutoka timu ya Ferrari, Fernando Alonso anatarajiwa kuanza katika nafasi za mbele baada ya kufuzu nafasi hiyo kwenye michuano ya Ujerumani ya Grand Prix. Madereva wa timu ya Red Bull Sebastian Vettel na Mark Webber walishika nafasi ya tatu na nne katika mbio hizo za kufuzu ingawa madereva hao kutoka Australia itabidi aanze katika nafasi ya tano kwenye mbio hizo baada ya kupewa adhabu. Madereva wa timu ya MacLaren, Jenson Button na Lewis Hamilton walimaliza mbio hizo za kufuzu wakiwa katika nafasi ya saba na nane lakini wataanza mbio hizo katika nafasi za juu. Michael Schumacher kutoka timu ya Marcedes alimaliza katika nafasi ya nne mbele ya dereva wa timu ya Force India, Nico Hulkenberg ambao wote wanatoka Ujerumani. Alonso na timu ya Ferrari wameonyesha kiwango cha hali ya juu kwenye barabara zilizolowa baada ya dereva huyo ambaye anaongoza katika orodha ya madereva bora wa langalanga duniani kumaliza mbio hizo akimaliza kwa kasi ya sekunde moja zaidi ya Vettel.
Sunday, July 22, 2012
ALONSO LEAD THE POLE AY GERMAN GRAND PRIX.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment