| Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Simba Godfrey Nyange 'Kaburu' na Mgeni Rasmi wa hafla hiyo Mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi wakionyesha jezi mpya za klabu hiyo zitakazotumiwa katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu pamoja na mashindano mbalimbali katika Tamasha la Simba Day lilifanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid, Arusha. (Picha zote kwa hisani ya Blog ya Michuzi) |
No comments:
Post a Comment