Monday, April 1, 2013

MANCHESTER UNITED WASULUBIWA DARAJANI NA CHELSEA.

Mshambuliaji wa Chelsea Demba Ba akifunga bao pekee katika mchezo huo uliofanyika Stamford Bridge.

Ba akishangilia na mashabiki wa Chelsea.


Save of the Day: Golikipa wa Chelsea akichupa kuokoa mchomo uliopigwa na Chicharito wa United katika dakika za majeruhi.

No comments:

Post a Comment