![]() |
Dario Bonetti |
ALIYEKUWA kocha wa timu ya Taifa ya Zambia-Chipolopolo Dario Bonetti amesema kuwa atalishtaki Shirikisho la Soka la nchi-FAZ hiyo FIFA kwa uvunjaji wa mkataba.
Bonetti ambaye ni raia wa Italia alipoteza kibarua cha kuinoa Chipolopolo ikiwa ni ndani ya muda wa masaa 48 baada ya kuiwezesha timu hiyo kukata tiketi ya kucheza michuano ya Mataifa Afrika 2012.
Amesema shirikisho hilo halijafafanua suala la kufukuzwa kwake na kuongeza kuwa alikuwa na mkataba mpaka 2012.
Rais wa FAZ Kalusha Bwalya amesema barua iliotumwa kwa kocha huyo ingawa alikataa kufafanua kwa undani utata wa suala hilo.

No comments:
Post a Comment