![]() |
| Siku ya tukio Ferdinand akizozana na Terry. |
![]() |
| Terry akitoka mahakani hapo ambapo shauri hilo litasikilizwa kwa muda wa siku tano ambapo kama akikutwa na hatia atatozwa faini ya paundi 2,500. |
![]() |
| Terry akiwa amezungukwa na polisi. |
![]() |
| Nje ya mahakama hiyo wanahabari wakiwa katika hekaheka. |





No comments:
Post a Comment