Monday, July 27, 2015

HABARI PICHA: GOLIKIPA WA ARSENAL WOLCIECH SZCZESNY AMKIMBIA PETR CECH NA KUTIMKIA ROMA.

Golikipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny akiwa katika uwanja wa ndege jijini Roma tayari kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kujiunga kwa mikopo na AS Roma.



No comments:

Post a Comment