Tuesday, July 21, 2015

HABARI PICHA: MAZISHI YA DEREVA NYOTA WA LANGALANGA JULES BIANCHI.

Mamia ya waombolezaji wakiwa mbele ya jeneza la dereva wa langalanga Jules Bianchi aliyefariki miezi tisa baada ya majeraha ya kichwa aliyopata katika ajali kwenye mbio za Japan Grand Prix, Octoba mwaka jana.



No comments:

Post a Comment