Messi akiwa ameweka pozi na mwanadada Shakira katika tuzo hizo. |
Wachezaji nguli wa zamani Ronaldo aligeuza mgongo na Michel Platin ambao ni moja kati ya wachezaji walionyakuwa tuzo hizo mara tatu wakimkabidhi Messi zawadi yake. |
Kocha wa Barcelona Pep Guardiola akionyesha tuzo yake aliyoshinda kama kocha bora wa mwaka 2011 mara baada ya kukabidhiwa. |
Mshambuliaji kinda wa Brazil na timu ya Santos Neymar akishukuru mara baada ya kupewa tuzo ya bao bora kwa mwaka 2011 katika tuzo hizo. |
Mshambuliaji wa Manchester United akikabidhiwa tuzo na nguli wa soka wa zamani Pele ya kumtambulisha kama mmoja wa wachezaji wa kikosi cha wachezaji bora wa FIFA kwa mwaka 2011. |
No comments:
Post a Comment