Monday, July 9, 2012

MTUKUTU BALOTELLI AKILA BATA ZAKE.

Mshambuliaji wa Manchester City, Mario Balotelli akiwa katika picha na warembo katika klabu moja ya usiku huko jijini Milan, Italia.

Balotelli akiwa amekumbatia chupa ya shampeni huku akivuta sheesha katika klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment