Friday, July 6, 2012

PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA ZOEZI LA UTIAJI SAINI WA KOCHA MPYA WA YANGA.

Kutoka kushoto mmoja wa wafadhili wa klabu hiyo Seif Magari, Kocha Tom Seintfiet, Katibu Mkuu wa Yanga Celestine Mwesigwa na mmoja wa wajumbe wa kamati ya ya utendaji ya klabu aliyejulikana kwa jina moja la Majid.

Seintfiet (kushoto) akisaini mkataba huo pamoja na Mwesigwa.

Zoezi likiendelea.
Wakipeana mikono mara baada ya zoezi kukamilika.

No comments:

Post a Comment