Friday, July 6, 2012

ROGER FEDERER ATINGA FAINALI YA WIMBLEDON KWA KISHINDO.

Federer Akishangilia mara baada ya kumfunga Novak Djokovic kwa seti 3-1 zenye alama za 6-3 3-6 6-4 6-4.

Djokovic akitoka kwa masikitiko.

In Action.




No comments:

Post a Comment