![]() |
| Kwenye picha John Terry akiwa katika bodi kwenye mapumziko yake huko Ureno. |
![]() |
| Terry akishuka na mkewe wakiendelea na mapumziko yao. |
![]() |
| Kiungo mpya wa klabu ya Bayern Munich, Mario Gotze akitanua katika ufukwe wa Ibiza na rafiki wake wa kike. |
![]() |
| Baada ya msimu wa kumalizika wachezaji wa Newcastle United wakitanua katika fukwe za Las Vegas, Marekani. |
![]() |
| Golikipa wa Liverpool, Brad Jones akitanua na mpenzi wake katika fukwe za jijini Dubai. |





No comments:
Post a Comment