Friday, November 1, 2013

BROOKLYN BECKHAM NA NDOTO ZA KUMFUATA BABA YAKE.

Brooklyin Beckham anataka kufuata nyayo za baba yake David Beckham kwa kufanya mazoezi ya majaribio katika klabu ya Manchester United.

Brooklyn akifanya mazoezi na nahodha wa klabu ya PSG Thiago Silva wakati baba yake akiichezea klabu hiyo. 

Brooklyn akiwa katika jezi ya Los Angeles Galaxy ya Marekani wakati baba yake Beckham akicheza huko.
Brooklyn akiwa na baba yake mwaka 2000 wakati Manchester United iliponyakuwa taji la Ligi Kuu.

Hapa akiwa amebebwa na baba yake.

No comments:

Post a Comment