Tuesday, January 14, 2014

YALIYOJIRI KATIKA SHEREHE ZA UTOAJI TUZO YA BALLON D'OR 2013.

Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wakiwa na wapenzi wao katika sherehe za utoaji tuzo jijini Zurich, Switzerland.

Ronaldo akibubujikwa na machozi wakati akipokea tuzo hiyo kutoka kwa Pele.

Pele akiwa ammbeba mtoto wa Ronaldo huku rais wa FIFA Sepp Blatter akimkabidhi tuzo Ronaldo.

Messi na mpanzi wake.

Franck Ribery akiwa katika pozi na mrembo na mwanamitindo nyota wa Brazil Adriana Lima.

Neymar naye alikuwepo.

Ronaldo katika pozi na mwane pamoja na mpenzi wake.


Pele naye alipewa Ballon d'Or ya heshima kwa mchango wake katika soka.

No comments:

Post a Comment