Monday, February 17, 2014

BARCELONA WAKIWA ANGANI KUIFUATA MAN CITY.

Nyota wa klabu ya Barcelona wakiwa katika ndege tayari kwa safari yao kuelekea nchini UIngereza kwa ajili ya mchezo dhidi ya Manchester City.

No comments:

Post a Comment