Tuesday, March 18, 2014

HABARI PICHA: CHELSEA VS GALATASARAY NA JINSI JINSI DROGBA ALIVYOPOKEWA KISHUJAA STAMFORD BRIDGE.

Mashabiki wa Chelsea wakiwa na bango la kumpokea shujaa wao Didier Drogba.

DROGBA akiwa na mwanae Isaac baada ya kupokeza tuzo ya shukrani kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Chelsea Ron Gourlay kwa kazi nzuri aliyofanya akiwa Stamford Bridge.
Drogba akimkumbatia kocha wake wa zamani Jose Mourinho.

Samuel Eto'o akitupia bao la kwanza katika mchezo huo.

Drogba akitaka kuifunga timu yake ya zamani.

Bao la pili la Chelsea lililofungwa na Cahill lililoivusha timu hiyo kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya kwa jumla ya mabao 3-1 katika mechi mbili walizocheza.

No comments:

Post a Comment