Tuesday, March 18, 2014

HABARI PICHA: MADRID YAISAMBARATISHA SCHALKE NA KUTINGA ROBO FAINALI, RONALDO AKITUPIA MAWILI.

Nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo akifunga bao la kwanza katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Schalke.

Ronaldo akishangilia bao lake.

Ronaldo akipongezana na Gareth Bale.

Bale akichanja mbuga. 
Wachezaji Madri wakipongezana baada ya kufungwa bao na kuifanya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 hivyo kuiondosha Schalke kwa jumla ya mabao 9-2.

No comments:

Post a Comment