Tuesday, May 13, 2014

KOMBE LA DUNIA 2014: KIKOSI CHA CAMEROON.

MSHAMBULIAJI nyota wa klabu ya Chelsea, Samuel Eto’o anatarajiwa kucheza fainali za nne za Kombe la Dunia baada ya kutwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon kinachonolewa na Volker Finke. Nyota huyo amewahi kuiwakilisha Cameroon katika michuano ya mwaka 1998, 2002 na 2010 na kuitwa safari hii inamaanisha kuwa atafikia rekodi ya kina Rigobert Song na Jacques Songo’o waliocheza michuano hiyo mara nne kila mmoja. Cameroon wataanza kampeni zao kwenye michuano hiyo kwa kucheza dhidi ya Mexico katika mchezo wa kwanza Juni 13 kabla ya kuivaa Croatia na Brazil katika kundi A.

Kikosi kamili cha Cameroon
Makipa: Loic Feudjou (Coton Sport), Charles Itandje (Konyaspor), Sammy N'Djock (Fethiyespor), Guy N'dy Assembe (Guingamp).

Mabeki: Benoit Assou-Ekotto (QPR), Henri Bedimo (Lyon), Gaetan Bong (Olympiacos), Aurelien Chedjou (Galatasaray), Cedric Djeugou (Coton Sport), Jean-Armel Kana-Biyik (Rennes), Nicolas N'Koulou (Marseille), Dany Nounkeu (Besiktas), Allan Nyom (Granada).

Viungo: Eyong Enoh (Antalyaspor), Raoul Loe (Osasuna), Jean Makoun (Rennes), Joel Matip (Schalke), Stephane Mbia (Sevila), Landry N'Guemo (Bordeaux), Edgar Salli (Lens), Alex Song (Barcelona).

Washambuliaji: Vincent Aboubakar (Lorient), Maxim Choupo-Moting (Mainz), Samuel Eto'o (Chelsea), Mohammadou Idrissou (Kaiserslautern), Benjamin Moukandjo Nancy), Fabrice Olinga (Zulte Waregem), Pierre Webo (Fenerbahce).

On standby: Frank Bagnack (Barcelona), Zock Bep (Cosmos de Bafia).

No comments:

Post a Comment