KOCHA wa timu ya taifa ya Urusi, Fabio Capello ametaja kikosi chake cha awali kwa ajili ya Kombe la Dunia huku akimjumuisha Pavel Pogrebnyak. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 30 hajaiwakilisha nchi yake toka katika michuano ya Ulaya 2012 huku msimu huu uliopita alikuwa akicheza katika timu ya daraja la kwanza ya Reading. Hata hivyo nyota huyo amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 30 wa awali kwenye kikosi cha Capello na kumfanya kuwa mchezaji pekee anayecheza soka nje ya Urusi kujumuishwa. Urusi ambayo imepangwa katika kundi H sambamba na Ubelgiji, Korea Kusini na Algeria inatarajiwa kucheza mechi za kirafiki dhidi ya Slovakia, Norway na Morocco katika maandalizi yao ya michuano hiyo.
Mabeki: Aleksandr Anyukov (Zenit), Aleksei Berezutski (CSKA Moscow), Vasili Berezutski (CSKA Moscow), Andrey Yeshchenko (Anzhi Makhachkala), Vladimir Granat (Dynamo Moscow), Sergei Ignashevich (CSKA Moscow), Dmitri Kombarov (Spartak Moscow), Alexei Kozlov (Dynamo Moscow), Georgi Schennikov (CSKA Moscow), Andrei Semenov (Terek Grozny).
Viungo: Igor Denisov (Dynamo Moscow), Alan Dzagoev (CSKA Moscow), Viktor Fayzulin (Zenit), Yuri Gazinskiy (Krasnodar), Denis Glushakov (Spartak Moscow), Pavel Mogilevets (Rubin Kazan), Oleg Shatov (Zenit), Roman Shirokov (Krasnodar), Yuri Zhirkov (Dynamo Moscow).
Washambuliaji: Vladimir Bystrov (Anzhi Makhachkala), Artem Dzyuba (Rostov), Alexei Ionov (Dynamo Moscow), Maxim Kanunnikov (Amkar Perm), Aleksandr Kerzhakov (Zenit), Aleksandr Kokorin (Dynamo Moscow), Pavel Pogrebnyak (Reading), Aleksandr Samedov (Lokomotiv Moscow).
Kikosi cha Urusi
Makipa: Igor Akinfeev (CSKA Moscow), Yuri Lodygin (Zenit), Sergei Ryzhikov (Rubin Kazan).

No comments:
Post a Comment