SHIRIKISHO la Soka Duniani-FIFA limeondoa tishio lake la kuifungia Nigeria kushiriki michuano ya kimataifa baada ya kutimiza masharti waliyopewa. Shirikisho hilo lilitishia kuifungia nchi hiyo mapema mwezi huu kutoka na serikali kuingilia masuala ya soka mara baada aya timu kurejea kutoka katika michuano ya Kombe la Dunia iliyomalizika nchini Brazil. FIFA ilifanya hivyo baada ya mahakama moja za FIFA. Kwa miongo mingi serikali za Afrika zimekuwa na nguvu kubwa dhidi nchini humo kuwaengua madarakani baadhi ya viongozi wakuu wa shirikisho hatua ambayo ni kinyume na taratibu ya mashirikisho ya soka katika mataifa yao hadi FIFA walipoingilia kati na kuondoa uwezo huo.
No comments:
Post a Comment