Monday, September 15, 2014

BAYERN HAIWEZI KUDHOOFISHWA KWA PENDO LA MCHEZAJI MMOJA - LAHM.

NAHODHA wa klabu ya Bayern Munich, Philipp Lahm amesisitiza kuwa hauzuniki kwa kuondoka kwa Toni Kroos na nafasi yake katika timu hiyo haitakumbukwa. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 aliondoka Allianz Arena Julai mwaka huu kwenda Real Madrid na kumaliza miaka nane kuitumikia Bayern. Pamoja na Kroos kuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kilichofanikiwa kunyakuwa taji la Bundesliga msimu uliopita na Kombe la Dunia kwa Ujerumani nchini Brazil, Lahm hana kwamba hakuna pengo lolote lililoachwa kwa kuondoka kwake. Lahm amesema Bayern wana kikosi chenye ubora wa hali ya juu hivyo ni vigumu kuwadhoofisha.

No comments:

Post a Comment