Thursday, October 23, 2014

MASTAA MAN UNITED WADHARAU MAGARI YA WADHAMINI CHEVROLET NA KUSUKUMA MIKOKO YAO WENYEWE.

Mshambuliaji nyota wa United akitinga uwanja wa mazoezi na gari lake la kifahari aina ya Porche 911.

Nahodha wa United Wayne Rooney akitinga na mkoko wake matata aina ya Range Rover "Overfinch".

Kocha msaidizi Ryan Giggs akiwa ndani ya gari lake aina ya Range Rover.

Marouane Fellaini naye ni mmoja wa mastaa waliogoma kutumia Chevrolet pichani anaonekana akitinga mazoezini na Marcedes.

No comments:

Post a Comment