![]() |
| Jenifer Lopez au J Lo na mwanae wakiwa wametinga jezi za Real Madrid. |
![]() |
| Mchezaji tenisi nyota wa Hispania naye ni shabiki namba moja wa Madrid. |
![]() |
| Mfalme wa Jordan Abdullah naye ni mnazi wa Madrid, pichani akisalimiana na rais wa klabu hiyo Florentino Perez. |
![]() |
| Dogo Justin Bieber naye anaifagilia Barcelona, pichani anaonekana akiwa ametinga jezi ya timu hiyo wakati alipokuwa ziarani Hispania. |
![]() |
| Shakira yeye ni zaidi ya mnazi kwani mume wake Gerard Pique ndio kitasa cha kutegemewa Barcelona, picha wakiwa na mtoto wao katika moja ya mechi za timu hiyo. |
![]() |
| Mkali wa mpira wa kikapu kutoka NBA katika timu ya Los Angeles Lakers, Kobe Bryant na kafa kaoza kwa Barcelona. |
![]() |
| Sio Hollywood pekee bali mpaka Bollywood, pichani ni nyota wa filamu wa India Ranbir Kapoor naye anaishabikia Barcelona. |
![]() |
| Mkongwe wa kikapu katika NBA, Magic Johnson pia ni mzee wa Catalan. |








No comments:
Post a Comment