![]() |
| Mrembo Roche ambaye anacheza katika klabu ya Peamount United akikatiza mbele ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kuelekea mahali pa kukaa katika sherehe za tuzo hizo zilizofanyika huko Zurich. |
![]() |
| Roche akiwa kartika picha ya pamoja na mpenzi wake Dean Zambra ambaye naye ni mchezaji wa nafasi ya kiungo. |


No comments:
Post a Comment