![]() |
| Jumba la Kifahari alilokodi Neymar huko Baverly Hills, Los Angeles ambalo analipa paundi 7,000 kwa usiku mmoja. |
![]() |
| Sehemu ya ndani ya Jumba hilo. |
![]() |
| Chumba maalumu cha kutizamia movie. |
![]() |
| Neymar (katikati) akiwa na Lewis Hamilton (kushoto) na Justin Bieber kulia wakiangalia mchezo wa Copa America ambapo Brazil ilikuwa ikicheza. |
![]() |
| Neymar akiwa na Justin Bieber wakicheza mpira. |
![]() |
| Neymar akimpa jezi ya Barcelona mshikaji wake hamilton. |
![]() |
| Nyota wa mpira wa kikapu wa NBA Stephen Curry akibadilishana jezi na Neymar baada ya nyota huyo wa kimataifa wa Brazil kuangalia mechi ya pili ya fainali ya NBA. |







No comments:
Post a Comment