MAMA wa kiungo mahiri wa Real Madrid, James Rodriquez amedai kuwa mwanae amekuwa akipoteza vitisho vya kuuawa katika mitandao ya kijamii. Mama huyo Pilar Rubio alituma picha ya boksi likiwa limeshehe risasi na bastola na ujumbe vilivyotumwa katika ukurasa wake binafsi wa twitter. Rubio amesema yeye pamoja na mwanae wamekuwa akiandamwa na mtu asiyejulikana ambaye amekuwa akituma picha na ujumbe wa kutishia.
Rodroguez hajaweza kuichezea Colombia mechi za kufuzu Kombe la Dunia baada ya kupata majeruhi kabla ya mchezo wa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Eibar na Chama cha Soka cha Colombia kimedai kuwa nyota huyo aliamua kurejea Madrid badala ya kuitizama nchi yake ikicheza dhidi ya Uruguay kesho.
No comments:
Post a Comment