Wednesday, November 2, 2011
ROBERTO MANCINI: JUST SAY SORRY, CARLOS TEVEZ
KOCHA wa Manchester City Roberto Mancini amemwambia Carlos Tevez ku wakuomba msamaha ni kazi rahisi. Kocha huyo ambaye amevunja ukimya wa wiki takribani tano toka mchezaji huyo akatae kupasha misuli moto wakati wa mchezaji baina ya timu yake na Bayern Munich jijini Munich.Mancini aliongeza kuwa Tevez ambaye ni nahodha wake wa zamani atamjumuisha katika mipango yake ya mbele kama ataomba msamaha.Amesema kuwa watu wote kuwa tunafanya makosa lakini kitu cha muhimu ni kuomba msamaha na kama tukifanya hivyo pasi tatizo limakuwa limekwisha, kama mchezaji siku zote huwa nafikiria hivyo na nilishamwambia Tevez siku ishirini zilizopita.Mancini aliongeza kwa kusema anadhani kuomba msamaha ni kitu rahisi kusema, hamjui wakala wake lakini anadhani watu wanaomzunguka hawampi ushauri unaofaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment