![]() |
| Beckham mwenyewe akipasha kabla kuingia uwanjani. |
![]() |
| Victoria akiwa amemkumbatia Harper pembeni yake ni rafiki yao wa karibu Dave Gardiner. |
![]() |
| Kwa mbali picha inaoyesha Victoria akichati na mkwewe Sandra huku baba yake Beckham Ted akisikiliza. |
![]() |
| Mzee Ted ameshindwa kuvumilia na kusimama kwa midadi huku wajukuu zake na mkewe wakipunga mikono mara baada ya PSG timu anayocheza Beckham kupata bao la pili. |
![]() |
| Harper akiwa bize na mama yake wakifuatilia mchezo huo. |
![]() |
| Brooklyn akichati na babu yake Ted katika mchezo huo. |
![]() |
| Mzee Ted anaonekana mzuka ukiwa umepanda tena. |







No comments:
Post a Comment