KLABU ya Paris Saint-Germain-PSG inajiandaa kutoa ofa kwa ajili ya mshambuliaji wa Barcelona Neymar baada ya kukwama kwa dili la kumuwania Cristiano Ronaldo kufuatia Real Madrid kufungiwa kusajili.
Chanzo: L’Equipe
MMILIKI wa Chelsea, Roman Abramovich anataka kumrejesha tena meneja wa Leicester City Claudio Ranieri, Stamford Bridge mwishoni mwa msimu huu, kufuatia kocha huyo kuingoza timu hiyo kupigania taji la Ligi Kuu bila kutegemewa.
Chanzo: Tottesport
KLABU ya Manchester City inapanga kukisuka upya kikosi chake majira ya kiangazi ili kumsaidia Pep Guardiola kutekeleza mtindo wake wa uchezaji. Beki wa Everton John Stone wamemuweka katika mipango yao ya usajili wa kiangazi wakati Wilfried Bony na Eliaquim Mangala wakitarajiwa kuwekwa sokoni.
Chanzo: Daily Telegraph
KLABU ya Real Madrid inapanga kutumia kitita cha paundi milioni 250 katika kipindi hiki cha usajili wa Januari baada ya kufungiwa kusajili ambapo Eden Hazard, David De Gea, Paul Pogba, Robert Lewandowski na Sergio Aguero wakiwemo katika orodha ya wachezaji wanaowataka.
Chanzo: The Sun
MSHAMBULIAJI nyota wa Tottenham Hotspurs, Harry Kane na beki wa Everton John Stones nao pia wanatajwa kuwindwa na Real Madrid.
Chanzo: Daily Star
KLABU ya Chelsea inaripotiwa kukaribia kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil Alexandre Pato mwenye umri wa miaka 26 kutoka Corinthians lakini watalazimika kulipa kitita cha paundi milioni 10 inachohitaji klabu hiyo ya Brazil.
Chanzo: ESPN Brazil
KLABU ya Chelsea inaripotiwa kuamini nafasi yao ya kumuwania meneja Diego Simeone imeimarika baada ya klabu ya Atletico Madrid kufungiwa kusajili.
Chanzo: Daily Mirror

No comments:
Post a Comment