Thursday, February 11, 2016

LIVERPOOL WASALIMU AMRI.

WAMILIKI wa Liverpool wameondoa bei ya paundi 77 kwa tiketi ba kuomba radhi kwa usumbufu uliojitokea kufuatia kutangazwa kwa beki hiyo. Mashabiki zaidi ya 10,000 walitoka katika Uwanja wa Anfield katika dakika ya 77 ya mchezo wa Jumamosi iliyopita dhidi ya Sunderland kupinga bei ya tiketi katika jukwaa kubwa msimu ujao. Wamiliki wa klabu hiyo kampuni ya Fenway Sports Group katika taarifa yake wamedai kuwa ujumbe umewafikia. Kutokana na hilo sasa beki ya zamani ya tiketi ya paundi 59 itaendelea kubakia kama ilivyo.

No comments:

Post a Comment