Sunday, December 11, 2016

CHELSEA WAREJEA KILELENI KWA KISHINDO.

KLABU ya Chelsea mapema leo imefanikiwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kufuatia ushindi wao waliopata dhidi ya West Bromwich Albion katika Uwanja wa Stamford Bridge. Bao pekee lililofungwa na mshambuliaji Diego Costa lilitosha kuwapa ushindi wa tisa mfululizo katika ligi msimu huu. 
9 - Chelsea have won 9+ Premier League games in a row for the fifth time, more than any other team in the competition. Habit.
Arsenal walikuwa wamekaa kileleni kwa muda baada ya kuichapa Stoke City jana kwa mabao 3-1. Bao hilo la Costa alilofunga katika dakika 76 linamfanya kufikisha jumla ya mabao 12 katika ligi na kuongoza orodha ya wafungaji.

No comments:

Post a Comment